Karibu! Furahia mwongozo sahihi wa lishe kwa afya ya mwanao.
Lishe Bora

Angalia Jinsi Ratiba Ya Mwanao Itakavyoonekana

Huu ni mfano tu. Ratiba yako halisi itaandaliwa kwa ajili ya mwanao.

CHAGUA UMRI

CHAGUA LENGO

SIKU YA 1

Ratiba ya Miezi 7-8

Kabla ya milo ยท Miezi 6โ€“8

Maziwa ya Mama

Endelea kunyonyesha kabla ya kila mlo

Maziwa ya mama bado ni chanzo muhimu cha lishe katika kipindi hiki. Mlishe chakula kama nyongeza, si mbadala.

Kiasi kinachopendekezwa: Mara 5โ€“8 kwa siku au zaidi kulingana na mahitaji ya mtoto.

Hii ni siku 1 tu โ€ข Fungua siku 30 kamili

Usibahatishe tena.

Pata ratiba iliyoandaliwa kulingana na umri, lengo na ukuaji wa mwanao.

Umri wa mtoto Lengo lako Ukuaji wake
Pata Ratiba Yangu Sasa