Karibu! Furahia mwongozo sahihi wa lishe kwa afya ya mwanao.

Leo Nimpikie Nini Mwanangu?

Usijiulize tena.

LisheBora inakutengenezea ratiba ya milo ya mtoto wako kulingana na:

  • Umri wake
  • Mahitaji yake ya ukuaji
  • Changamoto anayopitia
Mama AshaMama NeemaMama FatmaMama ZainabMama Halima
Akina mama 500+ wanatuamini
Nyota 4.9/5
Mama akimlisha mtoto wake kwa upendoMtoto akifurahia chakula chakeMtoto mwenye afya nzuriMtoto mchangamfuPishi safi la parachichi kwa mtoto

Kinachobadilika Ukitumia LisheBora

😔

KABLA

  • Leo nimpikie nini?
  • Nimpe nini asubuhi?
  • Mbona hashibi?
  • Mbona anasumbua kula?
😊

BAADA YA LISHEBORA

  • Ratiba tayari ipo.
  • Mapishi tayari yapo.
  • Viwango tayari vimepangwa.
  • Mama anakuwa na uhakika.